Proverbs 22:20-21

20 aJe, sijakuandikia misemo thelathini,
misemo ya mashauri na maarifa,
21 bkukufundisha maneno ya kweli na ya kuaminika,
ili uweze kutoa majibu sahihi
kwake yeye aliyekutuma?
Copyright information for SwhNEN